![Muongo](https://source.boomplaymusic.com/group1/M17/8B/A8/rBEehl6m7yeABrcCAACcVI4vYgA486.jpg)
Muongo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Muongo - Barnaba
...
yagaa,
this is barnaba boy classic.muko genius
naa
Mookoo
in am mi rude boy in a mi ada
i just wanna talk to u...listen!
masikini miimi,
moyo wangu pasupasu
kwani nilivompenda asingefanya machafu
penzi kalichimbachimba kama viatu
yani bila huruma atupanda watatu
kwaake niliwekeza upendo yeye hakuwa na malengo penzi akaweka na pengo(kupenda shida kabisa)
kama mtu kung'oa utumbo,akapunguza upendo akaninyima na tendo(nifanye nini nimechoka)
raha ya kitandani muwe wawili mgusane gusane ?
(u lie me every day)
kumpenda kosa jamani akanifanya hayawani kwa kuniacha njiani (masikini penzi langu kumbe bule)
muongo,muongo,muongo(kumbe muongo)
muongo,muongo,muongo(kanisavu kaka)
muongo,muongo,muongo(biza biza bina wanichora)
muongo,muongo,muongo(kumbe muoongo!)
aaaaah.
aaah,aaaaa nyamaza! aaah
acha kulilia penzi maaana ushenzi
kila siku wanazaliwa dada wanazaliwa kaka
lidhiki mafungo saba ikizidi nane bahati na bahati hujanga kwa nyakati(walahi kwake)niliwekeza upendo yeye hakuwa na malengo penzi akaweka na pengo(kupenda shida kabisa)kama mtu kung'oa utumbo,akapunguza upendo akaninyima na tendo(nifanye nini nimechoka)
raha ya kitandani muwe wawili mgusane
gusane ?
(u lie me every day)
kumpenda kosa jamani akanifanya hayawani kwa kuniacha njiani (masikini penzi langu kumbe bule)
muongo,muongo,muongo(kumbe muongo)
muongo,muongo,muongo(kanisavu kaka)
muongo,muongo,muongo(biza biza biza wanichora)
muongo,muongo,muongo(kumbe muoongo!)
aaaaah.
aaah,aaa nyamaza! mmmh