![Mwisho Wa Dunia](https://source.boomplaymusic.com/group1/M05/DE/C0/rBEeMV6ms7iAOZh5AAD7GL6Jx6s671.jpg)
Mwisho Wa Dunia Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Mwisho Wa Dunia - Bahati
...
mwisho isiwe mwisho mwisho
dear God ni mtoto wako bahati
ningependa tuongee tubonge
One nina mambo Ee mung u ningependa kukwambia
naomba ruhusa na muda tu tu
sijui huwa unaniskia ama dhambi zabania
usiende mbali ju
tunaikosa riziki baba tunaumia
tunalia corona corona
yule masikini mama asiye na njia
au watoto wa mitaani omba omba
mwisho isiwe mwisho
mwisho mwisho wa dunia
mwisho isiwe mwisho
mwisho mwisho wa dunia
hakuna show hakuna hata doo
kina haja gani nijenge izi flow
when the fans wako locked nyumbani
mwananchi mfuko iko low
anareskull??? ndio asake ata soo
serikali tuelewe jamani
wakitoa nguo na tuko taabani
street kids wakumbukwe na nani
tuokoe hili janga jamani
corona corona
mwisho isiwe mwisho (isiwe mwisho)
mwisho mwisho wa dunia
mwisho isiwe mwisho (Yesu wangu)
mwisho (mungu wangu) mwisho wa dunia
Ndio tu nime marry
nawasha gari ya maisha nianze safari
suddenly the end inakam aje
mungu nianze na samahani
popote tumekosa naomba tuwie radhi
ndio siku za mwisho tuwe ready ukikam
mwisho isiwe mwisho (baba yangu)
mwisho mwisho wa dunia
(machozi yangu ona) mwisho (kilio changu ona) isiwe mwisho
(ombi langu ona) mwisho (mii mtoto wako mbona) mwisho wa dunia (naomba isiwe mwisho)