CHEUSIDAWA Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
CHEUSIDAWA - Mabantu
...
me kwako nishavua nguo, na tayar nishakuoga na Kama penzi ningeregea, ruksa zidisha kuniroga katoto sura masha'Allah, wacha nkusifie sijajaliwa pesa ila kipaji, so wacha nkuimbie mi moyo chapa chapa, nimelowa lowa sa nseme nini sasa, kwako ndo nshakuwa mi kwako tilatila, nimelewa lewa nilipoteza dira, ukaniweka sawa mwenye rangi ya ndimu Sangita natural black colour (cheusi dawa) nyeusi kabisa, sio ya carolight ( cheusidawa) ka rangi kake bomba kama mkaa ye cheusi dawa (cheusi dawa) ila nimenasa barani, kwake cheusi dawa nakupenda cheusi dawa, we cheusidawa nakupenda cheusi dawa, we cheusidawa nakupenda cheusi dawa, Mi mwenzako moyo ukilemaa, nipe magongo nami nitembee saa yasije masinema, ukafanya wanizomee Zile raha unazonipa, mwenzako minazidiwa sijamaanisha upunguze, ziongeze nizidi changanyikiwa kwako ntabaki njia kuu,staki border nifungie kama teja na soko au kama mtoto na powder, hata ulichelewa mi ntagonja nimekupa vyeo na ma CV, masters, PhD sio diploma mpaka degree maana nakupenda ivi mwenye rangi ya ndimu Sangita natural black colour (cheusi dawa) nyeusi kabisa, sio ya carolight ( cheusidawa) ka rangi kake bomba kama mkaa ye cheusi dawa (cheusi dawa) ila nimenasa barani, kwake cheusi dawa nakupenda cheusi dawa, we cheusidawa nakupenda cheusi dawa, we cheusidawa nakupenda cheusi dawa mi moyo chapa chapa, nimelowa lowa sa nseme nini sasa, kwako ndo nshakuwa mi kwako tilatila, nimelewa lewa nilipoteza dira, ukaniweka sawa