Happy Birthday Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Happy Birthday - Mabantu
...
MABANTU ( HAPPY BURTHDAY )
kata cake tule
kata cake tule
kata cake tule
kata cake tule.....
Hongera kwa kuzaliwa MUNGU akupe
umri mara dufu kuoa,kuolewa majariwa
pale MUNGU akikutunuku washukuriwe wazazi wawe hai ama wamekufa siyo tu kukumwagia maji na vizawadi tutakupa
Au unamiaka mingapi utuambie....
( SEMAAAA )
Na sisi kwa vinyimbo tukuimbie....
( SEMAA SEMAAAA )
Na Kama kuna shemeji utuambie
tumsifie....
Na kama kuna makosa yalitokea
utusamehe tumekusamehe piah leo ni
siku yako ya kuzaliwa ENJOY piah
HAPPY BIRTHDAY TO YOU....
kata kataa.....
Happy birthday to you ( kata kataa )
Happy birthday to you ( kata kataa )
We unakatajee ???
Happy birthday to you ( kata kataa )
Happy birthday to you ( kata kataa )
Happy birthday to you ( kata kataa )
Hongera kwa Allah siku ya kuzaliwa...
Mi la kwangu dua MUNGU akujalie
upate mwana
upate na mpenzi wa kushibana
ujenge na kajumba iwe NO KUHAMA
Uache mwendo kasi uvute HAMA
Teamo teamo totorito sherekea CAKE kwa meza puliza na ukate kwa kijiko kabla
mate hatujameza.....
Kama Kuna makosa yalitokea
( SEMA )
Utusamehe tumekusamehe piah
( SEMA SEMAA )
Leo ni siku yako ya kuzaliwa enjoy the
HAPPY BIRTHDAY TO YOU.....
kata kataa
Happy birthday to you ( kata kataa )
Happy birthday to you ( kata kataa )
We unakatajeeee ??????
Happy birthday to you ( kata kataa )
Happy birthday to you ( kata kataa )
Happy birthday to you ( kata kataa )
Hongera kwa Allah siku ya kuzaliwa....
Haya kata hiyo ( kata kataa )
Usikate kizembe ( kata kataa )
Ila tulishe kwa mbwembwe ( kata kataa )
Sa unakatajeeee ????
Haya kata hiyo ( kata kataa )
Alichokupa mama ( kata kataa )
Si amekupa maama ( kata kataa )
Sa unakatajeeee ????
Happy birthday to you ( kata kataa )
Happy birthday to you ( kata kataa )
Happy birthday to you ( kata kataa )
We unakatajeeee ????
Happy birthday to you ( kata kataa )
Happy birthday to you ( kata kataa )
Happy birthday to you ( kata kataa )
Hongera kwa Allah siku ya kuzaliwa....
Kata cake tule
Kata cake tule
Kata cake tule
Kata cake tule.....
Kata cake tule
Kata cake tule
Kata cake tule
Kata cake tule.....