Nawakera ft.Young Lunya Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nawakera ft.Young Lunya - Mabantu
...
Nawakera, nawaudhi
Si wanapenda kubeng
Mama mtu kwani inawauma eeh
Kwani inawakera?
Tukivaa t-shirt na jeans
Kwani inawakera?
Oyaa kwani inawauma eeh
Kwani inawakera?
Nikimlipia kodi
Kwani inawakera?
Aii
Kwani inawauma eeh
Kwani inawakera?
Akikosea ninamsamehe
Kwani inawakera?
Aii
Kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Basi mezeni vidonge
Oya simwachi mi (Simwachi)
Mi simwachi ng'o (Mi simwachi ng'o)
Aii simwachi mi (Simwachi)
Mi simwachi ng'o (Mi simwachi ng'o)
Hata nikimfumania (Simwachi)
Hata mseme anadanga (Simwachi)
Hata domo akinibenulia (Simwachi)
Oya hata mkimwita mwanga (Simwachi)
Mama mtu kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Tukivaa nguo sare sare
Kwani inawakera?
Oyaa kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Akinilipia ada
Kwani inawakera?
Aii
Kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Tukienda baa analipa yeye
Kwani inawakera?
Kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Basi mezeni moto
Simwachi mi (Simwachi)
Mi simwachi ng'o (Mi simwachi ng'o)
Aii simwachi mi (Simwachi)
Mi simwachi ng'o (Mi simwachi ng'o)
Hata asiponizalia (Simwachi)
Hta akilala kwako (Simwachi)
Hta akininunia (Simwachi)
Hta akitoka na babako (Simwachi)
Kwani inawakera?
Kwani inawakera?
Kwani inawakera?
Kwani inawakera?
Simwachi,
Mi simwachi ng'o
Simwachi
Mi simwachi ng'o
Majirani kwani inawakereketa
Kwani akiwa mfupi anawatesa
Ufundi kwani ni mwalimu wa veta
Kulikoni kwani mbona mmejawa na pressure
Kwani inauma eeh, kwani inawakera?
Nikimsifia sifia, kwani inawakera?
Nikimpikia pikia, kwani inawakera?
Nikimsaidia kufua, kwani inawakera?
Mhh
Kwani inauma eeh, kwani inawakera?
Nguo zangu na ye anavaa, kwani inawakera?
Nishampeleka kitaa, kwani inawakera?
Kidoleni pete inang'aa
Wewewewee kwani inakuuma, mbona inakuchoma
Mimi kumtetea nishamwandikia mpaka ngoma
Pisi zenu zenyewe mitumba ya Ilala boma
Kwani mnapagawa sana sana mnapotuona
Kwani inawauma eeh
Kwani inawakera?
Tukivaa t-shirt na jeans
Kwani inawakera?
Kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Nikimlipia kodi
Kwani inawakera?
Aii
Kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Akikosea ninamsamehe
Kwani inawakera?
Aii
Kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Basi mezeni vidonge
Oya simwachi mi (Simwachi)
Mi simwachi ng'o (Mi simwachi ng'o)
Aii simwachi mi (Simwachi)
Mi simwachi ng'o (Mi simwachi ng'o)
Kwani inawakera?
Kwani inawakera?
Kwani inawakera?
Kwani inawakera?