Mwenye Nyumba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Mwenye Nyumba - Mabantu
...
Ebana namuogopa mungu wanafata wazazii nikimuacha bosi anafata (Mwenye Nyumba)
Walahi aki ya mungu kuficha kwel kazi kusema kwel mm ananikaba (Mwenye Nyumba) (dachi b)
Dachi (Nitakulipa mwezi ujao) siwana penda kubengi (Mwenye Nyumba) God father (Nitakulipa mwezi ujao) kaja (mwenye nyumba)
Au Kuna boya kaniotea maana kila nikifanya napotea (Nitakulipa mwezi ujao)
Mbona na data mshahara umeisha na sijaupokea (Mwenye Nyumba)
Jana kwel nimepost vile vinoti vingi kwa pochi (Nitakulipa mwezi ujao)
Walahi siongopi vile vinoti vya bwana boss (Mwenye Nyumba)
Hivi Mwenye Nyumba ananipenda eeeeh (Nitakulipa mwezi ujao)
Au nampenda (Nitakulipa mwezi ujao)
Et unanipenda (Nitakulipa mwezi ujao)
Mwenzako nakupenda (Mwenye Nyumba)
Ebana namuogopa mungu wanafata wazazii nikimuacha bosi anafata (Mwenye Nyumba)
Walahi aki ya mungu kuficha kwel kazi kusema kwel mm ananikaba (Mwenye Nyumba) mwezi ujao kada (Mwenye Nyumba)
Ebana nauza feni nauza jiko mwenzenu nimeishiwa Kodi ya (Mwenye Nyumba)
Nauza godoro pia na sabufa nataka nikalipe Kodi ya (Mwenyewe Nyumba)
Kodi yako inaisha Lin mm kesho kutwa yako inaisha Lin bwashee (kesho kutwa)
Kodi yako inaisha Lin yangu mwenzi ujayo yako Lin jirani (Mwezi ujao)
Hivi Mwenye Nyumba hujanipenda (Nitakulipa mwezi ujao)
Mwenzako nakupenda (Nitakulipa mwezi ujao)
Wewe hujanipenda (Nitakulipa mwezi ujao)
Mm nakupenda (Mwenye Nyumba)
Ebana namuogopa mungu wanafata wazazii nikimuacha bosi anafata (Mwenye Nyumba)
Walahi aki ya mungu kuficha kwel kazi kusema kwel mm ananikaba (Mwenye Nyumba)
Nitakulipa mwezi ujao (mwenye nyumba)
Nitakulipa mwezi ujao (Mwenye Nyumba)