NO LOVE NO STRESS (new version) ft. Young Lunya & Moni centrozone Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
NO LOVE NO STRESS (new version) ft. Young Lunya & Moni centrozone - Mabantu
...
(lunya) v1...
kwanza sina shobo ya viswaswadu,
pesa uaga chungu ila ya kwangu ni ya ugwadu,
kuna tabia tabia flani ukiingia club,
basi ya pisi ua ni kali ila zina mambo ya ajabu,
ndo me staki dem,(staki dem)
bora nipige p**i au nicheze game,
mana kuna madem wanachotaka fame,
wanakupa mchezo na wanakuita shem,
wengine nuksi balaa balaa,
afu sio mchezo nyuma masha-allah,
mambo anayotoa pwani mpaka balaa,
unaweza ukampa pesa kodi na mshahara
masha-allah
(pre chorus)
ivi anakupenda kweli au kisa anadaiwa kodi?
(eeh au kisa anadaiwa kodi?)
ivi anakupenda kweli au kisa unamtumia vocha uyo
(eeeh au kisa unamtumia vocha uyo)
(chorus)
wanangu tungi na mapenzi bora nn
(bora tungi)
sjaskia mnasema (bora tungi)
kumoka na mapenzi bora nn?
(kumoka)
sjaskia mnasema (kumoka)