NO LOVE NO STRESS Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
NO LOVE NO STRESS - Mabantu
...
Si wanapemda kubeng
Dj itisha please rudia hii
Pesa ya pombe hatuna waiter utatudai
Dada agiza tu walahi sitokudai
Ila namdenda namkuyata so atafurahi
(young luhya)
Kwanza Sina shobo ya viswaswadu
Pesa huwanga chungu ila ya kwangu ni ya wadu
Kuna tabia tabia fulani ukiingia klabu
Buzz ya peace huwa ni kali na zina mambo ya ajabu
Ndio maana mi sitaki dem (sitaki dem)
Bora nipigie boli au nicheze game
Maana kuna madem wanachotaka fame
Anakupa mchezo na anakuita shem
Wengine nuksi balaa balaa
Alafu sio mchezo nyuma Mashallah
Mambo anayotoa pwani mpaka balaa
Unaweza kumpa pesa ya kodi na mshahara
Mashallah
Hivi anakupenda kweli au kisa anadaiwa kodi?
Eeh au kisa anadaiwa kodi
Hivi anakupenda kweli au kisa unamtumia vocha wewe
Eeh au kisa unamtumia vocha wewe
Wanangu tungi na mapenzi Bora Nini?(bora tungi)
Sijasikia mnasema(bora tungi)
Kuomoka na mapenzi bora nini?(kuomoka)
Sijasikia mnasema(bora kuomoka)
No love, no stress
No love, no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
Ongeza moja mbili basi ongoja
Nitalipa bill nikiondoka
Ongeza ma moja mbili ongoja
Nitalipa bill nikiondoka
[Moni Centrozone]
No love no stress my love is priceless
Nachotaka tu ni nice tent
Kuchora Hadi tattoo wonders
Nikupate nikukate kisha ucheze
Nikumwage nikupe vidonge umeze
Aah usivalie kanga mi napata mawenge(Eeh)
Usifie chanda unaweza sema mi Ni mende(Eeh)
Na noa upanga msitu haukatwi kwa wembe(Eeh)
Tukuta nishajipanga najiusia tende(Eeh)
Wanangu tungi na mapenzi Bora Nini?(bora tungi)
Sijasikia mnasema(bora tungi)
Kuomoka na mapenzi bora nini?(kuomoka)
Sijasikia mnasema(bora kuomoka)
No love, no stress
No love, no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
Ongeza moja mbili basi ongoja
Nitalipa bill nikiondoka
Ongeza ma moja mbili ongoja
Nitalipa bill nikiondoka