![Fall In Love ft. Roma](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/29/4D/rBEehlwFAhCAaoCaAAD9Q4imydk253.jpg)
Fall In Love ft. Roma Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Fall In Love ft. Roma - Mwasiti
...
[Intro]
This is Awesome!.
[Verse 1: Nini]
Usiulize kwanini mimi nakujali,
Usiulize kwanini nina mapenzi ya dhati kwako,
Usiulize kwanini labda sijampa mwingine moyo wangu,
Usihisi labda kunaanayeziweza hisia zangu,
Nifanye chakula unile asubuhi mchana jioni,
Nifanye maji mie ile mida ya kulala uniogee,
[Pre-Chorus: Nini]
Ukitaka kulala na mi nilale tuende ndotoni,
Ukiugua usinywe panado,
[Chorus: Nini]
Acha niwe nawe….., nije kukuponya,
Ukiugua tu (Dawa)……, usipo niona,
Kizunguzungu(Dawa), Kizunguzungu(Dawa),
[Verse 2: Mr. Nay]
Nikiamka asubuhi simu ya kwanza nakupigia wewe,
Hata kama nimelala kwa jirani nakuotaga wewe,
Kwani hujui vile ambavyo mi ni mteja kwako wee,
Nishaachana na mademu wa mjini umenituliza wewe,
Napenda unavyoshika mic na unavyo control show,
Panda juu shika chini down low,
Kitaani wananiita true boy you are my true girl,
Penzi letu hatufuati mkumbo, Yes,
[Pre-Chorus: Nini]
Ukitaka kulala na mi nilale tuende ndotoni,
Ukiugua usinywe panado,
[Chorus: Nini]
Acha niwe nawe….., nije kukuponya,
Ukiugua tu (Dawa)……, usipo niona,
Kizunguzungu(Dawa), Kizunguzungu(Dawa),
[Bridge: Nini & Mr. Nay]
Na nakuamini nanishatamba sana ukiniacha nitayumba,
Nitayumba Yumba ukiniacha,
Pia nakuamini nanishatamba sana ukiniacha nitayumba,
Nitayumba Yumba, Na nikiugua,
[Chorus: Nini]
Acha niwe nawe….., nije kukuponya,
Ukiugua tu (Dawa)……, usipo niona,
Kizunguzungu(Dawa), Kizunguzungu(Dawa),
[Outro: Mr.Nay & Nini]
Aya Awesome
Dawa,
Oh! Dawa,
Kizunguzungu (Dawa),
Kizunguzungu (Dawa),
Free Nation.