![Bado ft. Mwana FA, Chege & Marioo (Remix)](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7C/31/rBEeMVtEV3GAKe5xAACSWfyNK1c315.jpg)
Bado ft. Mwana FA, Chege & Marioo (Remix) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Bado ft. Mwana FA, Chege & Marioo (Remix) - Mwasiti
...
bado nasikiliza watu wanavyokutia sumu.. Kama umelogwa ukalogeka so umeamua zingua ndumu..
Mapenzi hayakutoshi kujali ata uelewi..
ata nifanye nini mama yangu ata unogewi..
unatamani unitie vibao mbele ya watu vile Uwez tu..
mashoga zako wanatamani ungenimwaga tu..
nakutokana chaguo lao Kati ya wagonja Wa zamu..
ni vile unaona siachiki nabebwa na ubinadamu..
viumbe Wa shoka na mbuyu na wenye meno natafuna..
hongo zote zinakukuta ushanuna..
najua ushawai Sikia Kuna vizabi zabina Kuna matawi na Shina nisikile vizuri mama...