![Mapito Ft Ally Nipishe](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/52/9C/rBEeM1n65nKAAKhMAADIJVarXyI251.jpg)
Mapito Ft Ally Nipishe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Mapito Ft Ally Nipishe - Mwasiti
...
kosa kukueleza jinsi ninavyojua roho moyo peendoo aiyaaa, kama ungeelewa ili shamba lisingevuunwaa mazao yanafanana na kijiji ulichokwendaaa aanh hisia moja ila tofauti ni tabiaaa aanhaa anhaaa ni wewe unaenifanya usingizi nakosaaa eenhee ni wewe unaenifanya mimi nashindwa kulalaaa aanhaa ni wewe unaenifanyaa mimi nashinda kuwaazaa aanh