![Bado ft. Billnass](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/05/AD/rBEeqFqdIyKAWstuAACKtP06060356.jpg)
Bado ft. Billnass Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Bado Ft. Billnass - Mwasiti
...
Nacho taka sipati
ndo kwanza napungua
mawazo yanikondeshaa....
napokwendwa sifiki
ndani jua
lanichoma lanipausha...
kijishusha mpaka sirefuki kutia huruma badoooo
naonekana sionyeshi kuweziiii badoooo
kinachosemwa chochote siruki nipo nyumanyuma... badoooo
naonekanaga naficha ushenziiiiii
Sina habari naweee
Sina Imani naweee
Sina upendo naweee
sinagaDeni naweee..