![Mapito ft. Ally Nipishe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/11/d28241fb8d714be39c3d7b3ed2dda1f0_464_464.jpg)
Mapito ft. Ally Nipishe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Mapito ft. Ally Nipishe - Mwasiti
...
Kosa kukueleza jinsi ninavyougua roho moyo upendo aah aaaiyaaaaah
Kama ungeelewa hili shamba lisingevunwaaa aah mazao yanafanana na kijiji ulichokwenda aaagh aaaah
Jinsia moja ila tofaut ni tabia aah aaah aaaaaaaah
Ni we unayenifany ucngz nakosaaa eeeeh
Ni we unayenifanya uck nashindwa kulala aaah
Ni we unayenifanya mm nashinda kuwaza eeeeh
Ni we unayenifanya mapenz nayaona machungu na kufumb machoo
Hat nikilia machoz yanaanguk chini, hakuna wa kuyakinga wala yule wa kuyastiriiiiii
Jua ni wewe unayenipa mfalme wa mapito oo ohh acha nijute ukarimu wangu na upole ndo chanzo*2
Moyo roho aah yayaaaaaaaah