![Come Again ft. Eddy Kenzo](https://source.boomplaymusic.com/group2/M1A/58/1B/rBEeqF5rjRaAND_uAADl4RWcT6k52.jpeg)
Come Again ft. Eddy Kenzo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Come Again ft. Eddy Kenzo - Lulu Diva
...
Kama umeletwa na upepo wa kisulisuli
Napenda vile nimejaa kitulituli
Na kwenye bedi bwana we ni ngulinguli
Napenda vile unavyonipaga visuli suli
Mara sembe Maradona
Pepeta mama kila kona
Haya machenga Maradonna
Pepeta mama kila kona
Mara tuta mara kona
Pepeta mama kila kona
Naugua na kuponaAwdr
Pepeta mama kila kona
Usinibanie, no no utamu
Acha nipanie naona utamu
Usinibanie, no no utamu
Acha nipanie naona utamu
Come again, come again
Bado bado, come again
Come again, come again
Bado bado, come again
Kila siku nakuwaza mpenzi
Kukucheat mi hata siwezi
Kukucheat mpenzi siwezi
Beiby whine some
Beiby give some...
Fimbo, Ronaldo
Usinibanie, no no utamu
Acha nipanie naona utamu
Usinibanie, no no utamu
Acha nipanie naona utamu
Come again, come again
Bado bado, come again
Come again, come again
Bado bado, come again