![Mama](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/13/8a7967ca1d9b4917a82268bfceacb135.jpeg)
Mama Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Mama - Lulu Diva
...
This goes to all mama wote
Diva divana
Nawapenda mama wote
Hii ni kutoka moyoni nakupenda mama.
Na hii ni sababu mwanao kutwa napambana.
kinachonitesa moyoni unaumwa sana.
ila naamini ipo siku utapona.
Mama sio yule wa kula mwenyewe (aahh)
huwezi simama mwenyewe leo.
Mengine siri yangu mwenyewe.
Baba ameaga nimebaki na wewe (aahh)
Naumenizaa mwenyewe leo .
napambana usivunjike imani.
Imani yangu mama..
utapona utapona tena
mama lulu divana
utapona utapona mama
najua mungu anakuona
utapona utapona tena
mama yangu mama yangu
utapona utapona mama
najua mungu anakuona
(mama lulu divana ooh)
Leo nimekuwa maarufu kidogo najulikana.
Natamani ungekula matunda ya mwanao mama.
sina kaka sina dada wala ndugu yani tabu sana.
Rudisha fahamu kidogo uniite mama.
eeh mola fanya miujiza miujiza mama apone tena.
Baba ameaga nimebaki na wewe.
Naumenizaa mwenyewe leo.
Napambana usivunjike imani.
Imani yangu mama.
utapona utapona tena
Mama lulu divana
utapona utapona mama
najua mungu anakuona
utapona utapona tena
mama yangu mama yangu
utapona utapona mama
najua mungu anakuona
mamaa ma maaa (mama divana mama)
mamaa ma maaa(mama samia mama)
mamaa ma amaa(ummy mwalim mama)
mamaa ma maa(mama dangote mama)