![Jini Gani ft. Dulla Makabila](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/06/b3099aac0a5341d7a3b32ebaf8f06b89_464_464.jpg)
Jini Gani ft. Dulla Makabila Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Jini Gani ft. Dulla Makabila - Lulu Diva
...
muje polepole jmn kiti anaumiaaaa!! uje ppolepole we bedui kiti anaumia mama! uje polepole we makata kiti anaumiaa!! Bac semen shda hyooo tuitatueee! Mana yupo ugenn malzen mumuachiee!! Twambie we jini gan?jini gan? umekuja unataka nn? Twambie we jin gan? jini? umekuja (shda yako nn?)×2. (salaam ×2) binadam salam ×2!! kwanza ctakiii npigiwe kelele, me ndo mwenye mji co lazma mnijue!! Hapa ctok had nitake mwenyew, hata mlete polisi, mapadri na mashekhe×2 Ctak shobo kujifanya unanijua sana, we mbona unayako na ctak kuyasema. ctak shobo kujfanya unajua saaana unatamba na kgar wakat umemroga rahima. Yaan yakwang uyasemee ila hayahusian, zingatia nlivyokwambia kiti yupo ugenn! Yaan hata unitukane cwez kushndana na jini, mnapanda mnamshalilisha hatujui tatzo nn!! Tatzo kiti anatuchefua mpaka tumemchokaa, juz tumezka mama lkn muda huu amekumbatiwaaa!! Halaf kiti anakaumalaya mpaka kaleta viita, kamchanganya mavoko na boss wake mpaka mavoko kajtoaa!!.............jaman niwaambiee? niwaekezee yaan km safar haulew agza double kick, au wanang km safar haulew agiza k vant!! yaan wanavunja mpaka naz ili wanirogee, hzoo naz wanazovunja bora wangeunga maharageee!! we bac wamekula hasara bwana hapa harogek mtu, wamekula hasara bwana me nmeaga kwetu×2