![Hapa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/30/fa4115138cf04cdcb2db041b44ddb730_464_464.jpg)
Hapa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Hapa - Lulu Diva
...
........sexy diva..... divana
VERSE 1
mchuchu mwenzako nakupenda mpaka kero(mpk kero)
kiwango changu kiduchu mm kwako mfungwa niweke sero(niweke sero) mwenzio nakupenda vibaya
sina ujanja kwako nimezama
Na wale wenye roho mbaya
wambie mm nawe hatuwezi kuachana
CHORUS
tena mjue mm napendana nae
siwez kuachana nae
nimeshibana nae niwape pole oooh!!!!
mi napendana nae siwezi kuachana nae nimeshibana nae yupo kweny roho
napenda ukinigusa hapa hapa hapa napenda ukinishika huku huku huku huku
VERSE 2
solemba solemba solemba usije ukaniacha mwenzako babe utaniua nakupenda mi nakupenda sina ujanja kwako mwenyewe si unajua
(tumeshibana pete kidole wanga mnaobana sisi tunawapa pole )x2
CHORUS
mjue mm nimependana nae siwez kuachana nae nimeshibana nae niwape pole ooooh!!
mm nimependana nae siwez
kuachana nae nimeshibana nae yupo kwenye roho
napenda ukinigusa hapa hapa hapa
napenda ukinishika huku huku huku huku....
.............*********..........*****............
by Joseph Gerald Buzebe