![Homa](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/6E/75/rBEeMVqwz7-AZRDAAABsC3z5r9A986.jpg)
Homa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Homa - Lulu Diva
...
aaanh
habba
kama nyota imefifia
nipelekeni mibuyuni
nikapigwe ata msasa eeeenh
dunia aanh inadidimia
nakutamani kitanzini eha eha
kupenda najua Ila kuchagua ndo napokosea
shida kutatua ndo patapotea
japo kali jua bado nangojea
wapi ntapakua wapi ntapata
huwa napanda na kushuka kama daladala
kila napogusa Pa moto
pigwa danadana situlizwi
nahisi homa homa
napata homa homa
nahisi homa homa
napata homa homa
upweke baridi
mambo mazito
nakosa hata pakuegemea
uma na kijiko
kasheshe majonzi huwaga mapito
cha ajabu kwangu yamengang'ania
kupenda najua Ila kuchagua ndo napokosea
shida kutatua ndo patapotea
japo Kali jua bado nangojea
wapi ntapakua wapi ntampata
huwa napanda na kushuka kama daladala
kila napogusa Pa moto
pigwa danadana situlizwi
nahisi homa homa
napata homa homa
nahisi homa homa
napata homa homa
beat