![Hazipo](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/21/75/rBEehlvJe0uAJyCoAADZazyICa0844.jpg)
Hazipo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Hazipo - Nandy
...
yeeaah aah aah aah aah mmh
uzuri wako mashallah
na macho yako ndo balaa
sauti yako noma sana
na mwendo wako ndo balaa
ni miujiza moto faya
uzuri kakupa nani?
unaumiza mambo mbaya
nuksi uko nyumbani ×2
mi hazipo (hazipo)
kwajili yako mwenzio mi hazipo baba ( hazipo)
akili mi hazipo bwana (hazipo)
kwajili yako mwenzio mi hazipo baba (hazipo)
.......
stimu nyingi kichwani akili zangu baba
aah×4
sijitamanii nifikirie sana aah×4
usinipe maruani mi moyo utahama aah×4
na mashetani yanapenda kuamana aah×4
ni miujiza moto faya
uzuri kakupa nani
unaumiza mambo mbaya
nuksi uko nyumbani ×2
mi hazipo (hazipo)
kwajili yako mwenzio mi hazipo baba (hazipo)
akili mi hazipo bwana (hazipo)
kwajili yako mwenzio mi hazipo baba (hazipo)
nitakuwa sina bahati ukisema hutaki utaua mapigo
penzi la supu baba
ukiweka nazi hatari mzigo ×2
jaribu kuwa smart
nipe mahabati tu japo kidogo
mie wazimu baba
kichwani mwangu mwenzio hazipo
mwenzio mie hazipo (hazipo)
kwajili yako mwenzio mi hazipo baba (hazipo)
akili mi hazipo bwana (hazipo)
kwajili yako mwenzio mi hazipo baba (hazipo)yeah
hazipo yeah
hazipooo eeeah.
.....