![Inamana](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/05/81ec966aa46a406fa4f56e7bc7da5d67H800W800_464_464.jpg)
Inamana Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2025
Lyrics
INAMANA LYRICS BY LAVA LAVA
#VERSE
Inamana sitoiona tena sura yako
Inamana sitoziona tena simu zako
Inamana stopata Tena Muda Wako
Inamana kweli umesema nsiwaze juu yako
#BRIDGE
Inamana zile message za makopakopa utumi tena
Inamana yani kabisa umenichoka ndo kusema
Inamana hata kwa rafiki zako nsipige umeweka ukuta
Inamana nisijaribu nsidiriki hata kukutafuta inamana
#CHORUS
Ndo ushachukuliwa
Ndo ushachukuliwa (Kabisa umekwenda)
Ndo ushachukuliwa (Umeniacha daa!!)
Ndo ushachukuliwa (Nimebaki solemba)
#VERSE
Nilimaliza kurasa kujifunza mapenzi
Maktaba ufundi udansa mihodari mkwezi si haba
Ukasema mi mlango kitasa
We utanishikilia bawaba
Kumbe mwana siasa
Japo umenikaidi sina jinsi
Atanilipa maulanaa
We enjoy faidi na walonizidi
Najua mambo ya ujanaaa
Aaahh!
#BRIDGE
Inamana zile message za makopakopa utumi tena
Inamana yani kabisa umenichoka ndo kusema
Inamana hata kwa rafiki zako nsipige umeweka ukuta
Inamana nisijaribu nsidiriki hata kukutafuta inamana
#CHORUS
Ndo ushachukuliwa
Ndo ushachukuliwa (Kabisa umekwenda)
Ndo ushachukuliwa (Umeniacha daa!!)
Ndo ushachukuliwa (Nimebaki solemba)