![Paah](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/03/b163d274a540446da698c52f8b7ce13cH800W800_464_464.jpg)
Paah Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2025
Lyrics
Paah - Bahati
...
lyric sync by Phellow 254790511905
EMB records
Pozze
ni Bahati tena
Teddy B
lala kitandani nifunike
kwenye shuka nishike
mahabani nizike
mama
basi mtoto nikumbate
kwenye chombo nizame
maji ya uhai nikunyunyuzie
ah unavyonishika
hapa
rudia hapa
ongeza hapa
u mtamu bae
unavyonishika
hapa
rudia hapa
ongeza hapa
u mtamu bae
unafanya roho inagonga
paah paah paah
inagonga paah
sijiwezi unaniona
paah paah paah
inagonga paah
unafanya roho inagonga
paah paah paah
inagonga paah
sijiwezi unaniona
paah paah paah
inagonga paah
jamani mapenzi nahisi ah ya ya
kumbe mapenzi ndio ivi
sometimes mapenzi ni raha
sometimes gharama
kuna kupanda kushuka
umenikamata nishika
nikakamatika
baby unavokatika
penzi lako limenipa sifa aaah
umenikamata nishika
nikakamatika
baby unavokatika
penzi lako limenipa sifa aaah
moyo umegonga paah paaah paaah
my bebi bebi
unafanya roho inagonga
paah paah paah
inagonga paah
sijiwezi unaniona
paah paah paah
inagonga paah
unafanya roho inagonga
paah paah paah
inagonga paah
sijiwezi unaniona
paah paah paah
inagonga paah
unafanya roho inagonga
ah sijiwezi unaniona
moyo umegonga paa paah paaaaah
sijiwezi unaniona
aaaah bebi wangu
lyric sync by Phellow 254790511905