
Si Mimi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2025
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Si Mimi - Jux
...
Eeei yeee
Yeiyeee
Noo noo noo
Ooh
Nitazunguka dunia
Nitangaze sifa zako
Uzuri wako
Siwezi fanya siri
Wanibebeshe gunia
Na zote dhambi zako
Sumu yako
Imetawala mwili
Si mimi
Ni akili yangu
Si mimi
Ni moyo wangu
Si mimi
Ni mawazo yangu
Si mimi
Labda roho yangu