![Boy mfiti sana](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/31/0680a8dba81f458c86e5f02a0e3a5963H800W800_464_464.jpg)
Boy mfiti sana Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2025
Lyrics
BOY MFITI SANA
Artist: KENRAZY
Produced: MAPLENKA
Album: NINI ILIHAPPEN
Gjyeah, Ah!
Twende,
Alikuwa tu boy toka Bondo, boy mfiti sana ,
Alipendwa na mbuyu na pia na madha mbaya,
Jeri kila jioni walizunguka mtaa akiimbisha wadhi hapo alikuwa mdogo bana,
Alikuwa na sister wanne 4th born 2 brothers, Uhunye alisoma mpaka darasa la saba,
Yee ndio alikuwa anapigia watu ngoma daro na kina S Chagusia na Basil Odero,
Sega pia alisoma, St.Marys huko Yala, mfupi but b-ball alipendaga kucheza,
Msanii wa chuo alikuwa anatesa kutesa, na bado exam iki-come alikuwa anapita Tisha,
2007 F2 namkumbuka, Jam session kila Sunday alikuwa anavuruga,
Tichi ikitoka ulikuwa wapi, im sure kila mtu that day anakumbuka,
Industry akachangamsha, God�s one man army,
Kwa dancefloor , kila ikichezwa mnajirusha, akaget dem msupa hamkuficha mlimjua,
Ghipuka Diva the 1st lady akawafunika,
Jomino tukawasha, Pacho tukalipua, Grandpa messacre kila place ikaskika,
Big up to Visita, Rapdamu Na Refigah Not forgetting Stevo, that time ilishika,
Yeah, That time ilishika ah!
Twende Ah!���
Daystar-Jkuat aliingia, story kusaka career, aka-pause Mziki ndio career ika-carry familia,
Kukuwa na the biggest songs na bado uko 1st year, Saa hujaskia nusu mita campu flani ikampatia,
Ma- award akashinda , Artist of the year, Verse of the year na performer of the year,
Kila place Kenya alipendwa dear, KenRazy kuna waliom-underate pia,
Skia , proud father na familia, toka day 1 ah akishikilia,
Gjyeah na 2 daughters akabarikiwa , The Best Lyricist title akapewa pia , Rhaaa,
Nani hapa ana ile kitu? , Big tune but hawakucheza hiyo kitu,
It took love ya mafans ndio ihit tu coz tu kuna watu wanaona wivu,
Bless you , nakushow ni kaa ume-sneeze hachoo!, God tu ndio anajua mahali na head to,
Thank you Kwa wale waliom-respect tu Na walio-mcriticize positive coz they had to�
Tu boy tu boy , alikuwa tu boy tu boy , alikuwa tu boy tu boy,
Alikuwa tu boy mfiti sana,
Tu boy tu boy , alikuwa tu boy tu boy , alikuwa tu boy tu boy,
Alikuwa tu boy mfiti sana,
Gjyeah, In life kila mtu ata-arrive at the destination,
But hautafika the same person ulikuwa ukianza hiyo safari,
You may be better or worse, so the process inaeza change who you are,
It�s all on you manze, whether uta-concentrate on the negatives ama the positives,
Cz that will fully determine who you will be ukifika Kwa destination, cz everyone atafika mwisho eventually.
Legends Never Die, Yeah [Legends Never Die] NEVER EVER � Never Ever, Ghipuka
Alikuwa tu Boy Mfiti Sana, KenRazy, Tu Boy, Tu Boy, Tu Boy.....eeeeii.