![Take this pain away](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/31/0680a8dba81f458c86e5f02a0e3a5963H800W800_464_464.jpg)
Take this pain away Lyrics
- Genre:Afrofusion
- Year of Release:2025
Lyrics
TAKE THIS PAIN AWAY
Artist: KENRAZY
Produced: MAPLENKA
Album: NINI ILIHAPPEN
Kata kae, ineno kama aket-e gini? Mm...
Chunya dhiro mondo adhi amak gicha amako kom,
To adhi kacha,
To tek a teka, tek nade...
To wuoru to jo ni Nairobi?
Eeh en Nairobi, mmh,
Abe Nyasae ogonya ka, Orita
Yande odiya ma, yande odiya bende aweyo ni...
Ka e giko to obedi,
Waaah!
I remember everything like it was yesterday,
Daily mi nahustle trying to make tomorrow a better day,
Nimetoka show Kisii, nikasema jockingly,
Wacha nitembelee shosh imekuwa longtime no see,
Hata singejua that would be, the last time tunabonga meen shockingly,
It broke me to feel, how broken she left us gee,
The family Queen Asipo we miss you dear, ah!
Hii pande ingine cuzo yangu Young wamem-murder,
To make it worse ilikuwa mbele ya her mother,
When i heard the news first sikuamini,
Madhe ndio alinicall akilia nikachizi,
Then tukaloose Fred Omondi yo my Good Friend
Kuenda Hosi ku-confirm ni yee that was the worst pain,
MaGen Z wakauliwa kwa maprotest,
Abductions mpaka sai???
Daily nawaza, kama hustle itapay,
Better than yesterday let this be a brighter day,
Tumeng'ang'ana, everyday hakuna change,
Mahali imefika Baba naona tu ni wee,
Unaeza take this pain away,
(Chants) Oh Father Take This Pain Away,
(Chants) Oh Father Take This Pain Away,
(Chants) Oh Father Take This Pain Away,
(Chants)
Wasee wote nili-sacrifice for,
Walipofika nilifungua macho nikapata damn uh!, they all gone,
Alone i stood strong,
Got me questioning kama im really worth it or something to die for,
Escaped death 5 times nishaiona,
Mbilikimo hata hamngeiona,
Boat ilikwama kwa maji for 30minutes saile ilianza kusonga mi nilimshukuru Mola,
Haikuwa tu contract kulikuwa na issue ya doe,
I thought of saying nikafikiria what the f* for,
Saiyo nikona familia and im dead broke,
Na MCSK inanitumia ma soo soo,
I kept on pushing juu lazima ningetafuta capital,
Saiyo mafans kila siku wanauliza track iko,
Always contented na thao yangu,
Badala kufloss na million si zangu baadae jo depression kwangu,
Nacheza chini bora mfuko iko poa,
Silali njaa na siombi mtu ntatoboa,
But siwezi wekelea fiti kwa mziki,
Juu Kasongo yeyee kila place anatunyoa,
Daily nawaza, kama hustle itapay,
Better than yesterday let this be a brighter day,
Tumeng'ang'ana, everyday hakuna change,
Mahali imefika Baba naona tu ni wee,
Unaeza take this pain away,
(Chants) Oh Father Take This Pain Away,
(Chants) Oh Father Take This Pain Away,
(Chants) Oh Father Take This Pain Away,
(Chants)
Silence yangu eventually ilinihelp,
Nikastop kudefend myself,
Nikasare mabeshte wa kucomplain,
Nikakuwa careful with what i say, ah!
I already forgot,
What they did,
Huyo tu ni mi,
And thats why i know they will,
Come back God but this time please,
Nipatie tu roho ngumu,
Mi nataka tu kulove and live, ah!
Hao wengine hata sijali zii,
Protect tu the Mother of my kids,
The energy, the space i've built,
Wacha ibaki tu ya family,
Im tired God you are all i need,
Nashukuru wazazi for raising me,
To be a God fearing being,
Maybe siko happy but i treasure peace,
Niliskia vizii vile nilianza kuji-drug ndio nisleep,
Im so lucky manze mi hueza jipick up nomatter what,
So badala ya kuombea downfall yangu, saingine unafaa uchukue hiyo time manze uombee success yako manze
Life itakuwa easy,
Niliwaza mbona nilikuwa manze nanyima budangu time,
Na watoi wangu wakidu the same manze naeza die jo,
Im sorry Dad, i can never be too busy for you, yeah
Ni KenRazy,
Sai mshajua NINI ILIHAPPEN,