![Picha](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/31/0680a8dba81f458c86e5f02a0e3a5963H800W800_464_464.jpg)
Picha Lyrics
- Genre:Afrofusion
- Year of Release:2025
Lyrics
PICHA YANGU
Artist: KENRAZY
Produced: MAPLENKA
Album: NINI ILIHAPPEN
Ah, Nika-study the greats ndio nikuwe greater, nika-stay humble then, now and later,
KenRazy, Angie
[Chorus]
Nang'ang'ana usiku kucha ukiamka upate, Niko kwa runinga,
Na natazama yangu picha juu ya mita-ndao,
Wanicheze kwa cinema, kila dakika, Niwe yao nyota,
Wasiniweke kwenye vita-vyao,
Ah!, Nilikuwa naona ukipata mi nafurahia, Juu nilikuwa najua ukipata mi nimepata pia,
Na nikipata nikupatie hiyo tu Ni kukugawia, Si ati Nafanya ndio wee ukipata lazma wee unipatie,
Noma zilikuwa ndio but they never worried us, The hunger in you and me the same tulikuwa warriors,
Ndoto ilikuwa Ni si wote tu-emerge victorious, Future tu-laugh about our past zikae hilarious,
Then you started doing shit on my back, Tukienda place tumade tubonge tuseme it�s a wrap,
Una-call back at your own time unani-back bite, Ukichoma reason Ni ati wee ndio upate more shine,
Oh my, Son of God I was fully protected, Siezi sema nili-waste time Nimekuwa educated,
Subjected to the pain and suffering i felt neglected, God akanishow favor now Im elevated, [gjyeah]
[Chorus]
Nang'ang'ana usiku kucha ukiamka upate, Niko kwa runinga,
Na natazama yangu picha juu ya mita-ndao,
Wanicheze kwa cinema, kila dakika, Niwe yao nyota,
Wasiniweke kwenye vita-vyao,
Hahaaa, hivo ndio mi hucheka kila time mse uniambia uki-switch style utafika far,
Ka sitakuwa top Kwa world niki-rap kaa m-Kenya, wacha ni-stay number one in my country Kenya,
Ma-rapper waka-switch style turn singers, Gospel theme zikakuwa ku-dance tu God forgive us,
Wakaamua ku-push the wak tu, get the picture, Msanii mkali hatukutaki unless ukanje mista,
Ikakuwa hard sai wengine wana-buy tu views, Nairobi Kings nje ya city no one knows them ouu,
Kiki ika-over power mziki bloggers daily news, They don�t research ndio siendagi hizi interviews,
Co-operate world ikaanza ku-judge Na followers, Fake likes tukiseti wana-call on us,
Industry jo, hatuwezi part ways, Juu bila wee ningekuwa clue-less nasearch ways,
[Chorus]
Nang'ang'ana usiku kucha ukiamka upate, Niko kwa runinga,
Na natazama yangu picha juu ya mita-ndao,
Wanicheze kwa cinema, kila dakika, Niwe yao nyota,
Wasiniweke kwenye vita-vyao,