![SITAKUWA MTUMWA](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/28/90f8633a88fe4b11b76fce18971f836dH3000W3000_464_464.jpg)
SITAKUWA MTUMWA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2025
Lyrics
Nimeamua kurudi kwako Baba nipokee
Nimeshayaona ya dunia hayawezi nisaidia
Najuta kwa siku za zamani, sikutaka kuyasikia hata maagizo yako
Nilienda kinyume na yote yaliyohubiriwa
Ulevi nilifanya wizi nilifanya usherati kwa wingi sikuachwa nyuma
Sasaaaaa aaah aaah aaah
Mimi mwanampotevu Baba nimerudi tenaa
Nipokeee eeh eeh eeh, Si yule tena wa zamani Baba
Sitakuwa Mtumwa Wa zamani, Mambo ya zamani
Sitakuwa Mtumwa Wa zamani, Mambo ya zamani
Sitakuwa Mtumwa Wa zamani, Mambo ya zamani
Sitakuwa Mtumwa Wa zamani, Mambo ya zzamani
Sitalet my past inidefine instead nitafocus my future so bright
Nikama vile kwenye gari nikifocus kwa side mirror mbele sitaendanga
So hivi wacha kulalama kwa mambo mabaya ulofanya jana na nyuma
Ewe muombe Maulana mbele tazama kamwe usitazame nyuma
Haijalishi jana ulifanya nini waona dhambi kubwa ama kanini ewe muombe Mola na uamini atakusamehe na akufanye lainii
Na nilifanyanga mabaya sanaa aah aaah
Ila nikagundua najidanganya na kwa magoti mie nikajikusanya
Nikaomba nae Baba akafanya si kwa matendo bali ni kwa Neema
Alisema ananipenda mie mbona niangamie alifanyika laana, wanadamu Wanisoma ka calender na mie story zao mbaya ninalenga
Sitakuwa Mtumwa Wa zamani, Mambo ya zamani
Sitakuwa Mtumwa Wa zamani, Mambo ya zamani
Sitakuwa Mtumwa Wa zamani, Mambo ya zamani
Sitakuwa Mtumwa Wa zamani, Mambo ya zamani