
YOLO Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Samar Records
Hey yooh, si unajua starhil
Dibby Syk on the beat
Na kila zao lakikeke lina mwisho
Mungu aliyetuumba yuwajua mwisho
Alpha, Omega, alituumba kila moja na sababu moja
Tumwabudu yeye na tumsifu yeye
Tutimize lengo lake yeye lengo lake
Sa mbona wanadamu kama karanga karanga
Twaji changanya changanya twatafuta raha
Maisha kifahari tumelenga zake amri
Wengi pesa kwenye benki tumetinga
Na wengi masomoni karo ya washinda
Maghalani kila siku chaoza
Ila majirani njaa sokota
Kuishi mara moja kudedi mara moja
Fuata njia zake Baba
Kuzaliwa mara moja kudedi mara moja
Fuata njia zake Baba
You only live once YOLO
Kuishi mara moja YOLO
You only live once YOLO
Kuishi mara moja YOLO
Wanadamu kuna siku tutagenya
Futi sita yani sisi tutakwenda
Maisha, maisha, maisha
Duniani ulikuja peke yako
Na kwenda utakwenda peke yako
Huku nyuma watasema nini
Kule juu utasema nini
Usherati namba moja, ulevi namba moja
Corruption namba moja
Ama ulifuata njia zake
A holy life uliishi wewe
Amekupa uzima wewe
Tenda mema wewe
Na kwa magoti daily
Utubu dhambi wewe
Leo ni leo msema kesho ni mwongo
Leo ni leo msema kesho ni mwongo
Tubu wewe
Tubu wewe
Tubu wewe
Kuishi mara moja kudedi mara moja
Fuata njia zake Baba
Kuzaliwa mara moja kudedi mara moja
Fuata njia zake Baba
You only live once YOLO
Kuishi mara moja YOLO
You only live once YOLO
Kuishi mara moja YOLO
Kitu gani kitanitenga na Yesu mwokozi wangu
Kitanitenga na Yesu mwokozi wangu
Sema kitu gani kitanitenga na Yesu mwokozi wanguu
Fornication hapana nimekataa
Corruption hapana nimekataa
Masturbation hapana nimekataa
Ulevi ngwati hapana nimekataa
Tamaa za mwili hapana nimekataa kabisa
Kuishi mara moja kudedi mara moja
Fuata njia zake Baba
Kuzaliwa mara moja kudedi mara moja
Fuata njia zake Baba
You only live once YOLO
Kuishi mara moja YOLO
You only live once YOLO
Kuishi mara moja YOLO
Kuishi mara moja kudedi mara moja
Fuata njia zake Baba
Kuzaliwa mara moja kudedi mara moja
Fuata njia zake Baba