![AMENITOA MBALI](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/31/dad71b41b95e4b33a9fd6ef9de8b9a58_464_464.jpg)
AMENITOA MBALI Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Si unajua
Starhil
God Above All
Tamu mmh kwa Yesu Tamu
Tamu mmh kwa Yesu Tamu
Amenitoa mbali Mimi Amenitoa mbali
Amenitoa mbali Mimi Amenitoa mbali
Amenitoa mbali Mimi Amenitoa mbali
Amenitoa mbali Mimi Amenitoa mbali
Mbele mbele Mimi nasonga
Kule nyuma kamwe sitazami
Amani yake mie yanitosha
Ndio maama Mimi sihami
Nikimwomba Yeye ananipa
Mungu wangu Yeye ni
Muweza yote haaahaahaaa Muweza yote
Muweza yote haaahaahaaa
Na mashida ninasema
Byebye mashida byebye byebye
Byebye mashida byebye byebye
Nile mboga nile na nyama
Kwa wokovu mie nagwama
Kila siku shida majanga
Ila Mola huonekana
Amenitoa mbali Mimi Amenitoa mbali
Amenitoa mbali Mimi Amenitoa mbali
Sina mwengine haaahaahaaa
Sina mwengine
Sina mwengine haaahaahaaa
Sina mwengine
Nimegwama teketeke
Na mashida teketeke
Watarusha mawemawe
Ila Mimi nawenawe
Umenijenga umenilinda ndio Maama mimi naimba Msalabani kasulubishwa Dhambi zangu ukazifumba
Tamu mmh kwa Yesu tamu
Tamu mmh kwa Yesu tamu
Amenitoa mbali Mimi Amenitoa mbali
Amenitoa mbali Mimi Amenitoa mbali
Kila siku Mimi ntasonga Maadui watabaki wajigonga Kwa maombi nitawabonda kwa Njia Saba watapotoka
Huyu Mungu Yeye anatosha Huyu Mungu Yeye anaweza Huyu Mungu Yeye anatosha
Huyu Mungu Yeye anaweza
Haaaa
Walinisukuma nianguke naye Mola akakuja akatenda ya ajabu Wakabaki kuduwa hi injili Natembeza kwa waluhya Nakambaa Wakizidi kujigamba Me natambaa na kwake God Yani me nagwamaa hi injili Natembeza hi injili nakambaa Na kwake God yani me Nakwamaa
Amenitoa mbali Mimi Amenitoa mbali
Amenitoa mbali Mimi Amenitoa mbali
Amenitoa mbali Mimi Amenitoa mbali
Amenitoa mbali Mimi Amenitoa mbali
Amenitoa mbali Mimi Amenitoa mbali
Raaaaaa