
SITAKATA TAMAA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Si unajuaaa Starhil aahaa GAA
Maisha yananisukumuma Uchumi haucheki nami
Kila chajio ni Sukuma nyama Naila kwa ugeni
Maisha yananisukumuma Uchumi haucheki nami
Kila chajio ni Sukuma nyama Naila kwa ugeni
Mfukoni simu inaita nyumbani Kwenye chama mama adaiwa
Niliko kodi silajipa nikimwona Mwenye nyumba haraka Najificha
Mabeshte feki bado wanapretendy
Nalala njaa Mfukoni sina senti
Karo ni Shida na kwote madeni
Wowowowowooo
Ila bado ninapambana kisabuni Najikaza nikiamini ipo siku
Mungu utashuka mambo Yatabadilika
Unamtoa mtu chini mavumbini Unamuweka kile kiwango cha Juu ukininuliwa na
Wanadamu Watakushusha tuu ila Mungu
Mwenye rehema na neema Anakuweka pahali pake pa Ju
Utakuwa juuu
Sitakata tamaa ninajua Mungu Yupo
Sitakata tamaa siku yangu nayo Ipoo
Sitakata tamaa ninajua Mungu Yupo
Sitakata tamaa siku yangu nayo Ipoo
Usikate tamaa Mungu yupo
Ninajua ninadua kesho Nitapataa sitakata tamaa
Vyote Ni kwa Imani maishani foleni
Baada ya kidato nilifanya kwa Bar
Ndio niende kuhojiwa Nilichoma makaa
Hivi leo niko Hapa naamini mema yaja Zamu Yangu itafika
Uwe kwa kibanda unauza Mboga ama kwenye road uwe Bodaboda
Ajira unasaka na Umesota mweke Mungu mbele Na hutachoka
Kama ungali Chini ya jua na ungali
Unapumuua kaza mwendo Songa mbele ipo siku yatajipa
Mie bado nipambana kisabuni Najikaza
Nikiamini ipo siku Mungu utashuka mambo Yatabadilika
Unamtoa mtu chini mavumbini Unamuweka kile kiwango cha Juu
Ukininuliwa na wanadamu Watakushusha tuu
Ila Mungu Mwenye rehema na neema Anakuweka pahali pake pa juu
Utakuwa juuu
Sitakata tamaa ninajua Mungu Yupo
Sitakata tamaa siku yangu nayo Ipoo
Sitakata tamaa ninajua Mungu Yupo
Sitakata tamaa siku yangu nayo Ipoo
Sitakata tamaa ninajua Mungu Yupo
Sitakata tamaa siku yangu nayo Ipoo
Sitakata tamaa ninajua Mungu
Yupo
Sitakata tamaa siku yangu nayo Ipoo
Aiyee kaza mwendo Baba mama yangu Wee
Kaza mwendo kaza mwendo Kaza mwendo
Kaza mwendo Kaza mwendo kaza mwendo Kaza mwendo
Kwenye bodaboda baba we
Unauza mboga mama we
Mchungaji wa ngombe Mashambani
Mwanachoir kanisani
Bodaboda kwenye barabara
Manamba wa daladala we
Usikate tamaa mama
Kaza mwendoo tuu
Hata muuza viatu we
Mchomaji wa mahindi
Ukiinuliwa na wanadamu Watakushushaa tu