
SULUHISHO Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Jiaaa, come to me all who labour and are heavy laden
I'll give you rest, Matthew 11 :28
Si unajuaa, Starhil, GAA
Walahi nimepata suluhisho
Sema ng'o kwa mateso
Binadamu hawawezi kuniangusha
Hata waje na vitisho
Baba kwangu we kiburudisho
Tena kamwe sina kiu ila
Maadui wanataka kuniangusha
Wanataka kuniangusha
Ila baba wewe wanivusha
Yani wewe wanivusha
Shida zangu nazileta tu kwako
Nazileta tu kwako
Shide zangu nazileta tu kwako
Baba, yani nipumzishe
Shida zangu nazileta tu kwako
Nazileta tu kwako
Shide zangu nazileta tu kwako
Baba, yani nipumzishe
Alisema nikiita aitika
Alisema nikisaka nitapata
Alisema nikibisha afungua
Alisema nikiomba ananipa yeee
Baba wangu ananipa yeeee
Rotsaboy
Alisema nizipeleke peleke
Shide zangu nizipeleke peleke
Alisema nizipeleke peleke
Shide zangu nizipeleke peleke
Toka ghetto hivi sasa mashinani
Maadui waniwinda kama nyani
Asante God manze kwa kibali
Injili ntatembeza hadi kigali
Na bado sina gari
Na bado sina mali
Na bado sina worry kuhubiri ndiyo kazi
Yeye ananipenda
Yani yeye ananijenga
Yani yeye ananijali
Shida zangu alizibeba
Ndio maana ninapanda
Ndio maana ninang'aa
Na
Niendapo yani yeye yuko nami
Nifanyalo yani yeye yuko nami
Niendapo yani yeye yuko nami
Ila
Ya dunia yanataka kuniangusha
Yanataka kuniangusha
Ila baba wewe wanivusha
Yani wewe wanivusha
Shida zangu nazileta tu kwako
Nazileta tu kwako
Shide zangu nazileta tu kwako
Baba, yani nipumzishe
Shida zangu nazileta tu kwako
Nazileta tu kwako
Shide zangu nazileta tu kwako
Baba, yani nipumzishe
Njoni nyote mliolemewa ambia Bwana awapumzishe
Kwa wanadamu mtalemewa njoni kwake awapumzishe
Yani mliolemewa njoni kwake awapumzishe
Yani mliolemewa njoni kwaka awapumzishe
Huyu Baba anaweza yote huyu Baba anaponya yote
Huyu Baba abariki woteee
Ndio maana ninasonga ndio maana sijachoka ndio maana ninaomba ninajua
Someday someday nitatoka someday someday sitakopa aah
Walahi nimepata suluhisho
Sema ng'o kwa mateso
Binadamu hawawezi kuniangusha
Hata waje na vitisho
Baba kwangu we kiburudisho
Tena kamwe sina kiu ila
Yani
Shida zangu nazileta tu kwako
Nazileta tu kwako
Shide zangu nazileta tu kwako
Baba, yani nipumzishe
Shida zangu nazileta tu kwako
Nazileta tu kwako
Shide zangu nazileta tu kwako
Baba, yani nipumzishe