
ONGOZA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Si unajuaa
Yeyee yeyeyeee Starhil
Mola wangu me nashukuru kwa uhuru na uhai ulonipa
Hivi leo naimba msanii ee Nyota wananiita
Sio kwa nguvu zangu ni nguvu zako hivi hapa nimefika
Ingalikuwa ni mwanadamu kitambo ngelizikwa
Ukiniongoza nitapata mali si ya ukora bali ni ya halali
Njiani waniepushia ajali maana wanijali
Sahani yangu utaijaza wali hata maisha yangu yawe makali
Niwe Baraka kwa watu mbalimbali kama Musa kwa isiraeli
Umenipa afya njema Baba umeniokoa na ujana
Mengi unazidi tenda na ulinzi usiku na mchana
Milima mabonde lami matope juani nimepita
Kutwa kucha nge na nyoka vyote mimi nimekanyaga
Nazo ndoto zangu kwa Imani bidii naamini ntatimizaa
Hiyo ombi langu kila siku magoti mi Baba nikipiga
Baba zidi kuniongozaa
Baba zidi kuniongozaa
Bababababaaaa
Baba zidi kuniongozaa
Baba zidi kuniongozaa
Baba zidi kuniongozaa
Baba zidi kuniongozaa
Na neno lako liwe taa ya miguu yangu kila niendapo na niingiapo
Neno lako liwe nuru ya njia zangu
Usipo niongoza Baba ya dunia yatanilemea
Usipo niongoza siwezi hatua hata chemea
Vita si vya damu na mwili bali ni vita vya kiroho
Usiponiongoza kiwete kipofu sina macho
And I trust You with all my heart
Na sitalean on my own understanding
My works na commit before thy hands
Ninaamini zitakuwa established
Kama ulivyoongoza Shadrack Meshack na Abedinegooo
Baba usiniache mimi niende kando yakoo
Baba zidi kuniongozaa
Baba zidi kuniongozaa
Bababababaaa
Baba zidi kuniongozaa
Baba zidi kuniongozaa
Baba zidi kuniongoza
Baba zidi kuniongozaa
Kama ulivyo ongoza Isiraelii
Baba ongozaaa
Kama ulivyo ongoza na Abrahamu
Baba ongozaa
Usiniache mimi nitalemewa
Baba ongozaa
Kuingia kwangu kuondoka kwangu
Baba ongozaa
Baba ongozaaa