![Upendo](https://source.boomplaymusic.com/group2/M17/FA/A2/rBEeNF5KXxuALGw_AABru9VsmKk160.jpg)
Upendo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Upendo - Mercy Masika
...
Ni mwaka mwingine tena
Nmepitia milima na mambonde
Lakini tumevukaa
tumeshinda kwa neema yake
siku yangu imefika
na nina imba hallelujah
chorus
Kubarikiwa sio mali
ni kunyenyekea na kumpata yesu x2
ni yesu tu (ni yesu tu) sababu ya maajira
ni yesu tu, twasherekea
ni yesu tu, mkombozi wetu
wacha upendo wake utambae x2
Mungu kapenda ulimwengu
katupa mwanawe yesu aje
kwasababu yetu sisi
kwa upendo wa kutuokoa
tumehuruumiwa
basi wote tufurahie
Chorus
Umempata yesu sema yey yey x2
Amekuokoa sema yey yey x2
Chorus