
Zaidi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Sijafikiana kwa hekima
Ila kwa neema isiokifani, yake bwana
Damu yake ya dhamana, pale msalabani
Nikapata ukombozi
Nikapata kufunguliwa
Ni Mungu asiyeshindwa na lolote (ah ah aaaaah)
Aliumba mbingu na nchi, na vyote vilivyo more
Zaidi ninavyokujua {zaidi}
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Zaidi ninavyokujua {zaidi}
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Aliyekusudia maisha yangu
Anayekosoa makosa yangu
Anayenielekeza kando ya maji {kando ya majani mabichi}
Utendavyo utendavyo huhitaji
Kukiwa na kiu wanipea uzima wa maji
Yeye ndiye nahitaji, yeye ndiye uzima na njia yangu
Ni Mungu asiyeshindwa na lolote {ah ah aaahhhh}
Aliumba mbingu na nchi
Na vyote vilivyo more
Zaidi ninavyokujua {zaidi}
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Zaidi ninavyokujua {zaidi}
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Anayenipenda kwa dhati
nitaimba wimbo wake milele
Nitamsifu
Zaidi ninavyokujua {zaidi}
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Zaidi ninavyokujua {zaidi}
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Zaidi ninavyokujua {zaidi}
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Zaidi ninavyokujua {zaidi}
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu