
Kuna Namna Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Upendo - Mercy Masika
...
kuna aina za upendo aina nyingi
lakini upendo wako ndio halisi
kuna aina za utukufu aina nyingi
lakini wako ni mkuu na wa milele
kuna aina pia za miungu
lakini we ni mungu mkuu aliye hai
nimekujua nimetosheleka (tosheleka)
nimekujua nimekupenda (kupenda)
kuna namna kuna namna unatupenda inabidi Yesu
nikupende
kuna namna kuna namna unatutenda
inabidi Yesu nnikupend
Ukute?? tena Sawa sawa njia zetu
wala hukutulipa kwa maovu yetu
umeniokoa mtegoni mwa muwindaji
kwa manyoya umenifunika niko salama
nimekujua nimetosheleka (tosheleka)
nimekujua nimekupenda (kupenda)
ujana wangu (ndio) umerejeshwa
umerejeshwa (pia)
ujana wangu (ndio)
umerejeshwa (pia)
kuna namna kuna namna unatupenda inabidi Yesu
nikupende
kuna namna kuna namna unatutenda
inabidi Yesu nikupende
kuna namna kuna namna unatupenda inabidi Yesu
nikupende
kuna namna kuna namna unatupenda inabidi Yesu
nikupende