Nivute Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nimeishi kwa nyumba yako
Miaka mingi
Lakini sasa nataka kwako
Kusongea zaidi
Upendayo na mimi nipende
Sauti ni fahamu zaidi
Nione kama uonavyo wewe
Upendayo na mimi nipende
Sauti ni fahamu zaidi
Nione kama uonavyo wewe
Nivuteeee iye baba karibu na wewe
Naulenga moyo wako Baba kama daudi
Njia zangu, maisha yangu
Yalingane na neno lako
Njia zangu, maisha yangu
Yakupendeze oh oh
Nimeamua maisha yangu
Kwa utukufu wako
Yesu ukiwa nami wanibadilisha
Kama samaki ahitaji maji
Ndivyo nakuhitaji
Wewe ndiwe lengo langu
weeiwe
Kama samaki ahitaji maji
Ndivyo nakuhitaji
Wewe ndiwe lengo langu
weeiwe
Nivuteeee iye baba karibu na wewe
Naulenga moyo wako Baba kama daudi
Njia zangu, maisha yangu
Yalingane na neno lako
Njia zangu, maisha yangu
Yakupendeze
Nivuteeee iye baba karibu na wewe
Naulenga moyo wako Baba kama daudi
Njia zangu, maisha yangu
Yalingane na neno lako
Njia zangu, maisha yangu
Yakupendeze
Nivuteeee iye baba karibu na wewe
Naulenga moyo wako Baba kama daudi
Njia zangu, maisha yangu
Yalingane na neno lako
Njia zangu, maisha yangu
Yakupendeze