Nitamsifu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nitamsifu bwana wakati wote
Maajira yote
Nitaimba fadhili zake
Mchana na usiku
Sifa zake zi kinyuani mwangu daima
Hekaluni mwake nitasujudu daima
Nitamsifu bwana wakati wote
Maajira yote
Nitaimba fadhili zake
Mchana na usiku
Sifa zake zi kinyuani mwangu daima
Hekaluni mwake nitasujudu daima
Maana kusifu kunawapa saa
Wanyofua moyo
Mimi na nyumba yangu
Tutamsifu bwana siku zote
Milele
Leo nimeamua mimi na nyumba yangu
Tutamtumikia bwana
Nataka mtaani wajue, taifa langu wajue
Tutamtumikia bwana
Marafiki na wajue
Majirani na wajue
Tutamtumikia bwana
Sitarudi nyuma wala sitatazama yaliyopita
Ata shetani akinikumbusha, nitamwonyesha ukurasa mpya
Nitasonga mbele na yesu, wala sitaacha familia nyuma
Nitasonga mbele na yesu {yesuuuuu}
Nitatangaza sifa zake
Mbele ya mataifa yote
Sifa zake nazijulikane, kwa watu wote
Leo nimeamua mimi na nyumba yangu
Tutamtumikia bwana
Nataka mtaani wajue, taifa langu wajue
Tutamtumikia bwana
Marafiki na wajue
Majirani na wajue
Tutamtumikia bwana
Leo nimeamua mimi na nyumba yangu
Tutamtumikia bwana
Nataka mtaani wajue, taifa langu wajue
Tutamtumikia bwana
Marafiki na wajue
Majirani na wajue
Tutamtumikia bwana