Huyu Yesu ft. Angel Benard Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Huyu Yesu ft. Angel Benard - Mercy Masika
...
huyu yesu
si sanamu
si mwanadamu adanganye
ahadi zake zote kweli na amina nimemuina
mmmh akisema ndio hakuna wa kumpinga akikubariki hakuna wa kunyang'anya
akikuahidi kwa wakati atimiza
anavyokuita ndivyo ulivyo ooh
huyu Yesu huyu yesu
si hadithi mwambie (mwambie)
huyu yesu huyu yesu
si hadithi mwambie
ooooh
umetangaziwa nini
umetabiriwa nini
maishani mwako oh mwambie eeh
unaumizwa na nini
je una hofu gani maishani mwako,mwambie
akisema ndio,hakuna wa kumpinga
akikubariki hakuna wa kunyang'anya
akikuahidi kwa wakati atimiza anavyokuita
ndivyo ulivyo
oooh uuuh
huyu yesu huyu yesu si hadithi mwambie
huyu yesu huyu yesu si hadithi mwambie
wooo oooh heee uuuh uuuh uuh
mwambie
he eeeeh
huyu yesu huyu yesu si hadithi mwambie
huyu yesu huyu yesu si hadithi mwambie
huyu yesu huyu yesu si hadithi mwambie
huyu yesu huyu yesu si hadithi mwambie
huyu yesu huyu yesu si hadithi mwambie