Subiri (Wait) With Mercy Masika & Evelyn Wanjiru Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Subiri (Wait) With Mercy Masika & Evelyn Wanjiru - Emmy Kosgei
...
afadhali kungoja kumngoja bwana
Subiri, subiri bwana ×2
usichukue njia ya mkato
usipotoshwe na shauri la wasio haki. [mmmmnh]
heri mtu Yule afataye sheria la bwana
atakua kama mti kando kando ya maji.
uzaao matunda kwa majira yake
kila atendalo atafanikiwa yeaa iyee..
(back to chorus.)
umekua na maswali mengi mno
unashindwa mungu yuko wapi
umebisha bisha mungu yuko wapi
kufunga na kuomba
kukesha nakuomba
hupati majibu
mungu sio mwanadamu adanganye
subiri Kwa imani subiri wewe subiri
(back to chorus)