![Nipende With David wonder](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/83/F0/rBEeMVuQ7pKACiQ1AADI-3CcQMs931.jpg)
Nipende With David wonder Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2018
Lyrics
Nipende With David wonder - Bahati
...
EMB records
Ni Bahati tena na David wonder
Nasema Yesu wangu we nipende
naomba uniipende
ukinituma mbali we nieende
Naomba uniipende
(David wonder)
Wakii chop money yoh
me nikostudio
nikona nyimbo Mapya yakukusifu yoh
wakii chop money yoh
me niiko studio
niikona nyimbo Mapya yakukusifu yoh
Baraka nyingi umenipa
ndio maana na wonder
ni mara ngapi Nablanda
na bado naPanda
spiritual yoh
physically yoh
unibariki your my daddy yoh
spiritually yoh
physically yoh
unibariki your my daddy yoh
Niipende naomba unipende
naaahuniipende
natamani mbiguni niiende
nasema yesu wangu we Niipende
naomba uunipende
ukinituma mbali we niiendee
naaomba uunipende
wakichop money yoh
me niko studio
nikona nyimbo Mapya yakukusifu yoh
wakichop money yoh
me niko studio
nikona nyimbo Mapya yakukusifu yoh
kiganjani Naskia umeniandika bana eh
nikitembea duniani waniwaza sana
nasingependa niipptee
unihurumie
kwaasira uwempole
niirudie
spiritually yoh
physically yoh
unibariki you r my daddy yoh
spiritually yoh
physically yoh
unibariki your my daddy yoh
Niipende naomba uunipende
naaauunipende
naatamanii mbiguni nieende
nasema yesu wangu we Niipende naomba uunipende
ukinituma mbali we Niende
naaomba uunipende
wakichop money yoh me niko studio nikona nyimbo Mapya yakukusifu yoh
wakichop money yoh me niko studio nikona nyimbo Mapya yakukusifu yoh
NASEEMA YESU WANGU WE
NIIPENDE NAOMBA UUNIPENDE
UKINITUMA MBALI WE NIEENDE
NAOMBA UUNIPENDEE
WAKICHOP MONEY YOH
ME NIKO STUDIO YOH
NIKONA NYIMBO MAPYA YAKUKUSIFU YOH
WAKICHOP MONEY YOH
ME NIKO STUDIO YOH
NIKONA NYIMBO MAPYA YAKUKUSIFU YOH
(shaz baro)
eeeemb records