
Kwani We Nani (Remix) ft. Jay Combat & Ibraah Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Kwani We Nani (Remix) ft. Jay Combat & Ibraah - Meja Kunta
...
Diblo one touch
Oya Oya weeh (oyah)
Nione makofi ivo
Nataka nione makofi ivo
Oya wanangu wa Gang gang
Kama nimetoloka milembe
Eyoo oyah eyoo Kenny
Unafos kunijua alafu unazingu kwan boya vp
Kwan we Nani
Kwan we nani
Kweli maisha yangu yananisumbua
Ila ya kwangu staki unishauri we
Kwan we Nani
Mi nilishatoka local kitambo yani kama
Ubishi ubishi kwenye mambo
Kwani we Nani
Mwendo wa kukudokoa doko
Kama chambo kama Mungu
Kashafungua milango
Kwani we nani
Oya weeh
We ukileta umbuzi njoo tukufanye
Wa mchuzi zile Oya Oya Oya we oyah
Tuondolee mashuzi Oya oya gang gang
Oya oya gang gang
Kama tumetoloka milembe
Wauni hatuzimi leo wala kesho
Oya tumewasha mwenge x2
By Shoya Onetime (Baba Munira)