
Demu Wangu Remix ft. Marioo & Mabantu Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
Lyrics
Demu Wangu Remix ft. Marioo & Mabantu - Meja Kunta
...
Shiii
We dada ukishapenda penda kweli
Usije kuniacha doro
Oya we hunitaki vipi muhuni ndo nshakufollo
(Diblo One Touch)
Hatuwezi kuachana leo umenshtukiza Ungenipanga mapema nisingejiuliza
Leo leo mbona tungemaliza
Huo ushamba unaoleta nitakuumiza
(Weka tena)
Demu wangu nimekupatia shida
Kukutongoza kidogo changu
Kinajitosheleza kipi ulikosa
We mchumba ulipata
Cha ajabu leo unaniacha
Eti unasema una bahasha wako
Kudadeki nakupenda wewe na huyo bwana ako Nimesema sikuachi
Nakupenda wewe na huyo bwana wako
Ooh jamani kudadeki nakupenda wewe
Na huyo bwana wako
Nimesema sikuachi
Nakupenda wewe na huyo bwana ako
Oya wee (oya wee)
Oya wee (oya wee)
Oya wee (oya wee)
Oya wee (oya wee)
Shiii
Oya wee
Mi sijuagi kuachwa
Oooh oooh
Nang'ang'ana kama ruba
Oooh
Oya wee
Oooh oooh
Mi siwezi kuachwa
Oooh
Nang'ang'ana kama ruba
Kwani mchumba unataka nini mchumba
(Anataka hela)
Mchumba ulitaka nini mchumba
(Anataka hela)
Mchumba unataka nini mchumba
(Anataka hela)
Mchumba ulitaka nini mchumba
Siulinifunza nikipata akiba nichange
Ili ata kachumba nipange
Nilikua sijui ukanifunza michezo ya kwamparange Ukawatema masponsa vipande
Ukasema yanini nidange
Hee (Kuma nisha nini)
Ukanikataza mamoshi sigara mibange
Bebe yangu mama mtu
(Mi sikuachi)
Oya kama noma na iwe noma
(nakuachaje sasa)
Ni mwendo wakung′ang'ania kama ruba
(Mi sikuachi)
Mana muhuni nshagharamia
(Nakuachaje sasa)
Bebe yangu mama mtu
(Mi sikuachi)
Afutatu zangu ushakula sana
(Nakuachaje sasa)
Ni mwendo wa ruba kung′ang'ania
(Mi sikuachi)
Muhuni nshagharamia
(Nakuachaje sasa)
Weka tena
Demu wangu
Nimekupatia shida
Kukutongoza kidogo changu
Kinajitosheleza kipi ulikosa
We mchumba ulipata
Cha ajabu leo unaniacha
Eti unasema una bahasha wako
Kudadeki nakupenda wewe na huyo bwana wako Nimesema sikuachi
Nakupenda wewe na huyo bwana wako
We dada ukishapenda penda kweli
usije kuniacha doro
Oya we hunitaki vipi muhuni ndo nishakufollow
Twende twende
Basi kwanza piga makofi
Makofi
Makofi
Makofi
Makofi
Makofi
Makofi
We Jangala piga makofi
Makofi
Makofi
Makofi
Makofi
Makofi
Makofi
We Chilala piga makofi
Makofi
Makofi
Makofi
Ye amini kwamba nipo na mwanangu Bad
Aaa we Midfield Ndemla
Aaa Ibrahim Ajib Ajib
Follow me @manside