
Madanga Ya Mke Wangu ft. D Voice Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Madanga Ya Mke Wangu ft. D Voice - Meja Kunta
...
Radio searching
instruments
Aaah aah aah...
Aaah aah..
We jamani mke wangu anadanga lake
Mwenzenu ananikosha
(beat imesimama)
We kila siku ikifika morning
Lazima atume pesa
Mama watoto anadanga laki' ..mwenzenu anikosha wewe, onaa
We kila siku ikifika morning
Lazima atume pesa,
onaa
Lakini danga wa juzi amenikera
Amekuja hajaacha mizigo wala hela
Alafu sidangi dangi na masela
Danga na mapedeshe tupate hela
We ukipata bwana wa kizungu
Nenda naye kwa Mpalange
Mi mumeo nimekuruhusu kadange
Mwaka huu wife lazima tujenge
Wasio tupenda sa waambie wajipaaaaaange
Naheshimu madanga ya mke wangu
Maana ndo yanayonipa faida
Naheshimu madanga ya mke wangu
Maana ndio yanayonifanya nashiba
Naheshimu madanga ya mke wangu mimi
Ndo yanayofanya navimba
Eeh madanga ya mke wangu
Maana ndio yanayofanya naringa
Madanga ya mke wangu
yananipa faida
Oyaa oyaa oyaa oyaa oyaa oyaa oyaaaa..
Aaah.. aah..ooo
Siku hizi msingi wa ving'asti ndio umepea
Mjini kila demu anapenda hela
Halafu usije ukadanga na maboya
Kesho usije kurudi bila hela
Sa baby ngoja nikuambie
Nenda kadange upate kigari tuwavimbie
Ooh baby ngoja nikuambie
Nenda kadange upate kigari tuwavimbie
Halafu home usirudi mapema
Usicheze na kazi ma mtu utachina
Kwani madanga ndugu hayajatema
Mi nimemiss kula chips na nyama
Kama ukipata bwana wa kizungu
Nenda naye kwa Mpalange
Mi mumeo nimekuruhusu kadange
Mwaka huu wife lazima tujenge
Waso tupenda sa waambie wajipaaaaaaaaaaa..
Naheshimu madanga ya mke wangu
Maana ndo yanayonipa faida
Naheshimu madanga ya mke wangu
Maana ndio yanayonifanya nashiba
Naheshimu madanga ya mke wangu mimi
Ndo yanayonipa faida
naheshimu madanga ya mke wangu
Maana ndio yanayonifanya nashiba
Aaah.. aah..ooooh
oyaaa
MEJA KUNTA
Noma sana twendee,
twendee maa
Kwanza nikuulize hivi unamjua Yesu?
Yubu Khan nikuulize unamjua Yesu we?
Shabalala nikuulize unamjua Yesu we?
Boss Peter nikuulize unamjua Yesu?
So kwa jina la Baba hilo
Na la mwana hilo, na la Roho mtakatifu Amina
So kwa jina la Baba hilo
Na la mwana hilo, na la Roho mtakatifu Amina huyo
Yule dada anayecheza kati mnamjua?
Ndo MashaLove alo kalia chupa akapasua
We yule dada anayecheza kati mnamjua?
Ndo Wanjala alo kalia chupa akapasua
Basi twende msimshike jamani ana shot ya umeme
Na kibaridi kwa mbali muacheni ateteme
Msimshike ajibu ana shot ya umeme
Na kibaridi ndemla mwacheni ateteme
Kati mwacheni ateteme
Ajibu ateteme
Basi mwacheni ateteme Shabalala ateteme
aweee ayubu khan
haha
ananilikua ni mimi hapa D voice
aaah JM eee
aakh we mudi sanche sanchez
chooma
nooma
saana
aaah noma sana
aaah we meneja cambiasso
aah nakubaliana na mudi brynt
aa your respect meneja mizuna kaaaaaaacha
biti ya mwisho
biti inapotea