
Ushali ft. Kidochu & Dogo Elisha Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
Lyrics
Ushali ft. Kidochu & Dogo Elisha - Meja Kunta
...
eyoo Kenny. ... .
(Nakupenda ww na huyo baasha Ako)
We mbwa ni ww sura ka mti mkavu
uso umekukomaa Kama unadaiwa vikobaa
eti (nakupenda ww na huyo baasha Ako)
oyaa unajikuta chiz unajiona taira
Sasa jichanganye nywii nikutoe kafala
si unaleta ushubamiti me mwnyw taila
kukupiga bisu la tumbo Wala sioni hasala
Sasa jichanganye Leo nikutoe kafala
we mbwa jichanganye tu (me nikuchnganye)
weeeka Tena demu wangu
nimekupatia shida kukutongoza
kidogo changu kinajitosheleza
kipimo ulikosa
we mchumba ulipata
Cha ajabu Leo unaniacha
eti unasema una baasha Ako
kudadeq nakupenda ww na huyo bwaanaako
.. ..