
Okay Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
Lyrics
Okay - Barnaba
...
Haya Maradhi mwenzako nishapona we ndo daktari wangu..
ule ugonjwa wa kutetemeka umeondoka we ndo tiba yangu ×2
Baby hapo hapo usizidishe dozi ukizidisha mwenzako nitazidiwa
hapo hapo uliponishika mupenzi kama ni sumu wewe maziwa....
ukinigusa hapa...okay
katikati.................okay
hapo kwa chini...okay
hata kwa juu .......okay
Aiiiii sheriiii nangaiiiiii
auuuuu boss nangai
Kama ningepewa dunia mbona ajabu
nngekusifia usiku na mchana
wangejinunia wanadamu
sifa nngekumwagia kedekede
baby (nipe)*4 cha mkwezi
kuji (iba)*4 siwezi
penzi limekolea tui la nazi siishi kujilamba kwa raha zangu
Chorus::Baby hapo hapo usizidishe dozi........