![Emmanuel](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/08/AB/rBEeNFgRqEuAD7X7AABlSn9uzbk056.jpg)
Emmanuel Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Emmanuel - Mercy Masika
...
uuuu iiii
eeeeh ye ye ye
Mungu wa Elijah
ndiye aliye nasi
Mungu wa abrahamu
ndiye twaabudu
Daniel, Elisha na Abednego
ndiye
hajabadilika, hajabadilika
ah ah ah
ye ye ndiye
jana Leo na milele
ye ye ndiye
anatenda ya ajabu
this is kind of God
never been ever,
never be ever
this is kind of God
never been ever never be ever
ah ah ah
alitenda, atatenda
anatenda makuu
Hakuna chochote kimshindacho
yeeeeh
magonjwa
ndoa yako
shida zako
ye ye ye eeeh
hajabadilika hajabadilika
yeye ndiye eeh
ye ye ndiye
jana Leo ma milele
ye ye ndiye
anatenda ya ajabu
This is kind of God,
never been ever,
never be ever
this is kind of God
never been ever
never be ever
ah ah ah............
Mungu wa Elijah
ah ah ah....
Mungu wa Yakobo
ah ah ah...
Mungu wake Esther, hajabadilika
ye ye ye yeiiiaaah
ye ye ndiye
jana Leo na milele
ye ye ndiye
anatenda ya ajabu
this is kind of God,
never been ever
never be ever
this is kind of God
never been ever
never be ever
ah ah ah......
hajabadilika, ah ah ah...
hashindiki ah ah ah...