![Chungwa](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7F/AD/rBEeMVtp3LWAJZ2AAACmmzPg3Pw950.jpg)
Chungwa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Chungwa - Barnaba
...
Naaa aaah ×6
Mashallah
Yeye baridi barafu Mashallah
Mie kwake mkangafu
Yeye mnazi mi dafu Mashallah
Ameniroga
Choo hakina bafu
Maisha yetu upatu
Nadunduliza sarafu
Tumeridhika
Ye ndo wa haba na mi haba
Tumejaza kibaba
Chungwa kulimenya kama chenza mbona kama wanihadithia wajidanganya(wajidanganya ×2)
Kwenye mapenzi weka ukweli uongo weka mbali
Unaempenda kweli usijemdanganya
Chunga na mali zako utabaki nazo
......
Naaam swadata maadili
Mapenzi ya sasa usiringie pesa
Moyo ukautesa
Watu wanataka ile kitu roho inapenda
Zile zama zakutesa
Tesa tesa na haziko tena
Chunga sana
Sasa hivi mpende mwenzio akupende
Mtende akutende maradufu ooh×4
Ye ndo wa haba
Na mi haba
Tumejaza kibaba
Chungwa kulimenya kama chenza mbona kama wanihadithia wajidanganya (wajidanganya ×2)
Kwenye mapenzi weka ukweli uongo weka mbali
Unaempenda kweli usijemdanganya
Chunga na mali zako
Utabaki nazo ×2
.........
chungwa kulimenya kama chenza mbona
.......
Kwenye mapenzi weka ukweli uongo weka mbali
.........