![Nyang'a Nyang'a](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7F/AD/rBEeMVtp3LWAJZ2AAACmmzPg3Pw950.jpg)
Nyang'a Nyang'a Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Nya'nga Nya'nga - Barnaba
...
This is Barnaba boy classic
If u love someone u have to fight
Goes around comes around
This is for u babe
Eeh×3 yogo on the beat
No oouooh ooh×4
Penzi umelipiga parapanda
Uchizi umenipanda
Mpaka nimepatwa kipandaa
Kipanda uso
Mie barafu kwako mama niliganda
Umeleta joto nimeyeyuka mama
Unanipa maswali
Wapi kwenda huko
Penzi umeligeuza karabai
Umegeuka upepo
Umezima zetu ndoto
Rafiki yangu amekua akilia ooooh×2
Angali najipa moyo nivute subira Ila wapiii
Moyo umechoka
Kuna muda naulazimisha mwili kimapenzi
Angali nafsi na roho yangu havipendi (sina mudi sijiskii) chochote
Moyo wangu jamani (nyang'anyang'a oooh)
Roho yangu imechoka (nyang'anyang'a oooh)
Kufumania nmechoka (nyang'anyang'a Oooh ×3) eeeh×4
Moyo wangu barafu (nyang'anyang'a oooh)
Kwenye jua nayeyuka (nyang'anyang'a oooh)
Ukinivunja nameguka mi (nyang'anyang'a ×3)
Zile subira subiri huvuta heri
Mimi nimevuta shari
Nilompenda kawa nilompenda kawa adui
Na mie ndo wake askari
Nilichogundua tamu ya mapenzi
Waliopendana wakiachana wanakua maadui sana
Kuna muda nakubipu night kali
Nakutumia meseji hewa
Ukinipigia nakujibu bahati mbaya
Kuna muda najilazimisha kimapenzi
Angali nafsi na roho vyangu havipendi (sina mood sijisikii) chochote
Moyo wangu jamaani (nyang'anyang'a Oooh)
Roho yangu imechoka (nyang'anyang'a Oooh)
Kufumania nimechoka (nyang'anyang'a oooh ×3)
Moyo wangu barafu (nyang'anyang'a oooh)
Kwenye jua nayeyuka (nyang'anyang'a oooh)
Ukinivunja nameguka (nyang'anyang'a oooh) ×3