![Chausiku ft. Vanessa Mdee](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/78/7E/rBEeNFsqHmuAe6TZAADao3ntUkk391.jpg)
Chausiku ft. Vanessa Mdee Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Chausiku ft. Vanessa Mdee - Barnaba
...
eeh
vidonge kumeza na soda
jeans utinge na moka (ndo ushamba)
eeh chunga mdomo
hujaulizwa ww una ropoka
kumiliki buku huku kuliotaga ghorofa
mumewe nmelala ndani we unatka loka
eboo (no no no oooh)
maisha yangu nmezaliwa tandale
nyumbani mtuguli sikufundwa mpole
ndo maan nyumbani kwetu lazima nimwate na tamaduni zetu mwiko kutoa talaka hata mm nyumbani kwetu vimini wanakataza (aaaah) kwenda kwa muziki kisa vibao kata (no no noooooh)