Baridi Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Baridi - pittyBoy
...
Lina bana lina tight
Sijawahi pata penzi la hivi
Hii kitu kutoka sio rahisi
Hata kuzama pia sio rahisi
Nahisi nimekolea sana
Kweli hivi sio kawaida
Maana wewe hujaachia mwanya
Umeniteka umeniiba
Oooh! Ndoto zangu toka zamani
Kupata mtu kama wee
Nilalelale kifuani
Kichwani anitawale
Ndoto zangu toka zamani
Kupata mtu kama wee
Atae nipa burudani
Hivi
Oooh baby, hunnie
Naskia baridi mimi
Oooh baby, hunnie
Naskia baridi mimi
Oooh baby, hunnie
Naskia baridi mimi
Oooh baby, hunnie
Naskia baridi mimi
Na hapa nilipo nipo kileleni
Kama Kilimanjaro
Napenda unavyonipa vitu laini
Nachizika na ulio nayo
Baby kuwa nawe naskia raha
Kukupata naskia raha
Siunajua unavyo nikuna
Usiniache nitakesha bar
Ndoto zangu toka zamani
Kupata mtu kama wee
Nilale lale kifuani
Kichwani anitawale
Ndoto zangu toka zamani
Kupata mtu kama wewe
Atae nipa burudani mmmmmh
Hivi
Oooh baby, hunnie
Naskia baridi mimi
Oooh baby, hunnie
Naskia baridi mimi
Oooh baby, hunnie
Naskia baridi mimi
Oooh baby, hunnie
Naskia baridi mimi