Mbali Nawe Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Mbali Nawe - pittyBoy
...
Masikini Mimi mwenzako Mimi natumia sana
Japo nishajua Mimi kuwa sawa na wewe haitawezekana
Hata nikishuka chini ndo unaniona mih mjinga sana
Eti umepatwa Nini mbona hapo mwanzo ulitulia aah
Na Wala sio mbali sio mbali tulikua karibu na malengo
Na Leo kiu Tani kama utani umeshidwa kuumaliza mwendo
Na Tena haujali haujali ukiondoka utaacha pengo
Hakuna Cha habari nikae mbali huku kuachwa bila maelezo.
Mbali nawe. Mbali nawe
Mbali nawe mbali nawe
Mbali nawe mbali nawe
Mbali nawe mbali nawe..
Mmmmmmhh. Aaahhh
Au kuwa na mie hautamani basi niambie kosa Gani
Basi niambie jinsi Gani utakua sawa baby mmmh
Nikueleze jinsi Gani. Vile nimekuweka moyoni
Hata unipime Kwa mizani itajaa kwako honey
Mi naumwa. Siko sawa
Lako penzi ndo yangu dawa
Mih naumwa siko sawa
Lako penzi ndo yangu dawa x2
Na Wala sio mbali sio mbali tulikua karibu na malengo
Na Leo kiutani kama utani umeshidwa kuumaliza mwendo
Na Tena haujali haujali ukiondoka utaacha pengo
Hakuna Cha habari nikae mbali huku kuwachwa bila maelezo
Mbali nawe mbali nawe
Mbali nawe mbali nawe
Mbali nawe mbali nawe
Mbali nawe mbali nawe